KAMUSI
YA LUGHA; MAANA, AINA, TAARIFA NA DHIMA ZAKE.
MAANA
YA KAMUSI
Massamba
(2012:24)
kamusi ni kitabu cha orodha ya maneno katika lugha, yaliyopangwa kwa utaratibu
maalum, pamoja na maana au fasili zake; katika uchanganuzi wa lugha haya ni
maneno ya kileksika, yaani yasiyokuwa ya kisarufi au kifonolija.
Tuki
(1990:21)
kamusi ni kitabu cha orodha ya maneno yaliyopangwa kwa utaratibu maalum, pamoja
na maana na fasili zake.
Wamitila (2003:76)
kamusi ni kitabu ambacho kina orodha ya maneno katika lugha Fulani ana ambayo
hupangwa ki-abjadi au kialfabeti. Maneno haya huelezewa maana zake mbalimbali
na labda hata vyanzo vyake.
Matinde (2012:273)
kamusi ni kitabu chenye mkusanyiko wa maneno sanifu katika lugha mahususi
yaliyoorodheshwa kialfabeti na kutoa taarifa za kifonetiki, kifonolojia,
kimofolojia, kisintaksia, na hata kisemantiki.
Nyambari
na Masebo
(2012:179) kamusi ni kitabu cha marejeleo chenye msamiati uliokusanywa kutoka
kwa wazungumzaji wa jamii fulani, na kupangwa kwa utaratibu maalumu, kisha kufafanuliwa
kwa namna ambayo msomsji huweza kuelewa.
Kwa
ujumla
kamusi ni kitabu chenye orodha ya maneno
mbalimbali yaliyopangwa vizuri kwa kufuata alfabeti na hutoa taarifa mbalimbali
kama vile maana, matamshi n.k.
MUUNDO
WA KAMUSI
i) Utangulizi wa Kamusi
Hii ni sehemu ya mwanzo ambayo
hutangulia matini yenyewe ya kamusi.
ii)
Matini ya Kamusi
Hii ni sehemu ambayo inaonyesha vidahizo
na fahiwa zake kuanzia herufi A-Z.
iii)
Sherehe ya Kamusi
hizi ni baadhi ya taarifa ambazo huwa
zimeandikwa mwishoni mwa kamusi. Kwa mfano majina ya nchi, lugha za mataifa
duniani, vipimo vya urefu, vipimo vya uzito, ujazo n.k.
AINA
ZA KAMUSI
Kwa kutumia kigezo cha LUGHA kuna aina
kuu tatu (3) za kamusi
i) kamusi wahidiya
hii ni kamusi inayoandikwa kwa lugha
moja
ii) kamusi thaniya
Hii ni kamusi inayoandikwa kwa lugha
mbili.
iii) kamusi mahuluti
Hii ni kamusi inayoandikwa kwa lugha
zaidi ya mbili. Kwa mfano Kiswahili-kiingereza-kifaransa.
Taaarifa
zinazopatikana katika kamusi
Taarifa hizi huweza kuwa za kisarufi au
kileksika
a)
taarifa za kisarufi zinazoingizwa katika kamusi.
Nyambari na Masebo (2012:184)
wameainisha taarifa zifutazo za kisarufi zinazopatikana katika kamusi.
·
Wingi
wa nomino
·
Kategoria
ya kisarufi ya kidahizo mf. Kitenzi (kt), nomino (nm) n.k
·
Vinyumbuo
vya vitenzi mf. Piga-pigwa-pigana-pigika n.k
·
Ngeli
za nomino mf. Mtu (A-YU), kazi (i-)
·
Matamshi
ya neno
·
Elekezi
au sielekezi. Mfano: Apiza kt [ele],
Anguka kt [sie]
·
Mifano
ya matumizi
b)
Taarifa za kileksia zinazopatikana katika kamusi
Matinde (2012:275-281) anaeleza taarifa
zifuatazo za kileksia ambazo zinapatikana katika kamusi ya lugha.
·
Mpangilio
wa vidahizo
·
Kategoria
za maneno
·
Umoja
na wingi
·
Upatanisho
wa kisarufi
·
Uelekezi
wa vitenzi
·
Maana
ya vidahizo
·
Tahajia
za maneno
·
Mifano
ya matumizi
·
Methali,
nahau na misemo
·
Timolojia
ya leksimu
·
Michoro/
picha
·
Matamshi
DHIMA
ZA KAMUSI
·
Huonesha
tahajia sahihi za maneno
·
Huonesha
maana za maneno
·
Huonesha
matamshi sahihi ya maneno
·
Huonesha
asili ya neno
·
Humsaidia
mtumiaji kujifunza lugha za kigeni
·
Huonesha
alama na vifupisho mbalimbali katika lugha husika.
Marejeleo
Massamba.
D.P.B.(2004 ). Kamusi ya isimu na falsafa ya lugha. Dares salaam: TUKI
Masebo
. J. A. & Nyangwine. N. (2012). Kiswahili kidato cha tatu na nne . Dares
salaam: nyambari nyangwine publishers
Matinde.
R. S. (2012). Dafina ya lugha. Isimu na nadharia. Kwa sekondari, vyuo va kati
na vyuo vikuu. Mwanza : Serengeti bookshop.
TUKI
(1990).kamusi sanifu ya isimu na lugha. Dares salaam: Tuki na Educational
publishers and distributors ltd.
Wamitila.
K. W. (2003). Kamusi ya fasihi, istilahi na nadharia. Nairobi: Focus publishers
ltd.
Maelezo juu ya kamusi ni mazuri.
JibuFutaMazuri sana
JibuFutaMaelezo ni mazuri na yanaeleweka
JibuFutaMaelezo ni mazuri na yanaeleweka
JibuFutaKazi safii.
JibuFutaSifa za kamusi nzuri ni zipi?
Coin Casino Review | Bonus Codes | Free Spins | Games
JibuFutaFind the best Coin 인카지노 Casino bonus codes, free spins, and more at CasinoRewards.com. Sign up 1xbet now! Rating: 8.3/10 · Review by หาเงินออนไลน์ CasinoRewards.com
5420718017230
JibuFutaUkiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
JibuFutaNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi
I want to give a testimony on how I got cured from Herpes Virus. Few months back I was having some symptoms. I went to see a doctor and many blood tests were done on me, later on I was told I had Herpes. My doctor told me that there’s no cure for Herpes. I felt bad, I went online searching for a possible cure for Herpes Virus, I saw a post of Dr. Dawn, a herbal doctor that’s helping people get cured from Herpes.Cancer.HIV and more I contacted him and told him how I’m feeling. He said his herbal medicine can cure me. He sent me the medicine via UPS delivery service and I received the medicine 6 days after he sent it, i took the medicine as prescribed by him. Before I completed the medication the symptoms stopped. I went to the doctor and carried out another blood test, surprisingly I was Negative. I haven’t had any symptoms anymore. Dr. Dawn is great and you can
JibuFutacontact on WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
If you need herbal medicine to cure any chronic or sexual transmitted disease's like.
HERPES.
CANCER.
HIV/AID'S and more